Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Septemba 21 kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zoezi hilo la vitambulisho vya Taifa. Katikati ni Ofisa habari wa NIDA, Rose Mdami.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dickson Maimu, baada ya mazungumzo wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Septemba 21 kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya zioezi la Vitambulisho vya Taifa. Picha na muhidin Sufiani-OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwenye picha ya pili Ndugu Dickson Maimu anaonekana kuwa ni mtu mwenye adabu, nidhamu, heshima, upole na unyenyekevu wa hali juu sana.

    ReplyDelete
  2. Assalam aleikhum bro michuzi
    tafadhali nakuomba uiweke hii comment yangu please na nia yangu siyo kuchafua hali ya hewa au chuki lakini nataka watu wawe wakweli hasa hasa wakuu wetu jamani its about time. Sina chuki binafsi au yeyote ile na Dkt,Mohammed gharib bilal lakin kuweka picha yake hii na kuhusu hii issue imenikuga ile mbaya.waku wetu si wakweli,wakienda misafara yao huwa wanawachukua ndugu zao na jamaa zao na kuwatia katika misafara yao ya kitaifa,kamchukulia jamaa yake mkewe na kumshusha new york kwenye msafara wake aliyokuja huku new york na kutumia jina feki etc tukiripoti issue hii immigration ya new york itakuwaje?si mtatuona wabaya na yeye ataonekana vipi.

    wacheni aisee kujitia wasafir kumbe hakuna kiumbe aliye msafi.
    any way sina chuki na jamaa mheshimiwa.

    ReplyDelete
  3. Anon wa Kwanza. Maimu is best strategist I ever met

    ReplyDelete
  4. Mimi naona hilo kovu jeusi ni dalili mbaya and the guy don't have confidence

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...