Mwenyekiti wa chadema taifa,Freeman Mbowe akiwahutubia wakazi wa Matimila jana wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani uliofanyika kijijini hapo,ambapo zaidi ya wanachama 50 wa chama cha mapinduzi walijiunga na chadema
Mbunge wa jimbo la mbeya mjini (Chadema),Joseph Mbilinyi akiwahutubia wananchi wa kata ya Matimila Songea vijijini wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani uliofanyika jana katika kijijini matimila.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Freeman Mbowe kulia akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Matimila Songea vijijini,Pili Kasmir kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika juzi matimila.
Mgombea udiwani kata ya Matimilia Songea vijijini,Pili Kasmir (kushoto) na mwenyekiti wa Chadema taifa,Freeman Mbowe wakiwasalimia wananchi wa kijiji cha matimila Songea vijijini kwenye mkutano wa kampeni za udiwani zilizofanyika juzi kijijini hapo. PICHA NA MUHIDIN AMRI -GLOBU YA JAMII,SONGEA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani sikusudii uchokozi lakini hivi neno kunguruma hamuoni kwa hapa litakuwa limetumika vibaya?

    Ingawa sijui kijiji cha matimila kina ukubwa gani lakini sikushindwa kugundua kuwa idadi kubwa ya waliohudhuria kampeni hiyo ni watoto wadogo wengine hata shule nahisi bado hawajaanza seuze kupiga kura. Hapo kuna kunguruma kupi? Hivi hichi kijiji hakina watu wengi wa kuanzia miaka 18 au zaidi?

    Mimi nahisi huyu jamaa Pili ni mwalimu hapo matimila na ndio amewachukua wanafunzi wake kwenye hiyo kampeni ili kuzidishi idadi ya watu, au wenzangu mnasemaje?

    ReplyDelete
  2. Kumbe sale za sisi hemu zinakubalika chadema! poa kabisa mgombea Udiwani bado upewe kadi ya CCM tuu

    ReplyDelete
  3. Ankal background ya hizo picha dah! Sioni bati kabisa. Miaka 50 baada ya uhuru?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...