Baadhi ya wakazi wa mji wa Igunga na vitongoji vyake, wakiandamana kuelekea katika Uwanja wa Sokoine mjini Igunga, ambako ulifanyika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.
Kuelekea katika Uwanja wa Sokoine mjini Igunga, ambako ulifanyika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Igunga, wakati wa uzinduzi wa kampeni za mchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Igunga na vitongoji vyake, wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo leo.
Picha zote na mdau Joseph Senga wa Tanzania Daima


Ili nyomi lote lingekua linapiga kura! tungewaambia CCM n CUF rudini Dar kujiandaa na chaguzi nyingine. Lakini Mmmh wengi hapo sio wapiga kura.
ReplyDeleteBIG UP CHADEMA,km yasemavyo mabango ya wana igunga"CCM KICHWA CHINI MIGUU JUU","NYOKA NI NYOKA HAWEZI KUWA CHURA HATA AVUE MAGAMBA 100","MIAKA 50 MMESHINDWA MIAKA 4 MTAWEZA?!!!,"TUMECHOKA KUWATUMIKIA MAFISADI","MAISHA GHARAMA KM ALMASI","TUMECHOKA SASA","TUMECHOKA KUNYANYASWA NGUVU YA UMMA"may GOD bless you guys stick on cdm,hi..mdau wa blog ya jamii.
ReplyDeleteAskali imemtachi,kabaki ameduwaa,ukweli unauma miaka hamsini ya uhuru ndo hivi gizani maisha magumu km chuma cha pua.
ReplyDeleteHongera CHADEMA naona mmefunika ile mbaya. Jimbo mmeshalichukua tayari!
ReplyDeletemimi naipenda sana chama cha chadema, watu wanaifuata kama vile ni kwenda mbinungi. hata mimi huku malekani najalibu kukaanzisha ka chadema kangu huku
ReplyDeleteSafi sana Blog yetu..Wote wapewe coverage sawa kwenye blog..Vyama vyote vyenye wagombea vipatiwe coverage sawa.Wana Igunga naomba m'wasilikize vizuri hao wagombea halafu m'wahukumu kwa kujitokeza kupiga kura kwa wingi
ReplyDeleteDavid V
All the best CHADEMA, you will make it.
ReplyDeletefreedom is coming tomorrow !
ReplyDeletemdau paris
Nimelipenda jukwaa lipo simple lakini wamefanikiwa ku-deliver message kwa wanaigunga (wametumia local available material, mdau Igwamanoni wa Isungang'wanda
ReplyDeletepicha na habari havijakamilika. mbowe na slaa tunawafahamu lakini wapi sura au jina la mgombea ubunge wa igunga kupitia chadema?
ReplyDelete