Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.  Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa kizimkazi Dimbani wakati alipofika kuangalia hatua  za majaribio ya Tangi la maji  safi na salama katika kijiji hicho leo.

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohamed  Shein,akisalimiana na wanafuzi wa Skuli katika kijiji cha  kizimkazi Dimbani wakati alipofika kuangalia hatua  za majaribio ya tangi la maji safi na salama katika kijiji hicho leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati,(Kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,Mhe.  Mustafa Ibrahim,wakati alipofika Kizimkazi Dimbani kuangalia hatua za kukamilika kwa mradi wa Ujenzi wa Tangi la Maji safi na Salama katika kijiji hicho leo.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...