RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dr. Ali Mohamed Shein akifungua shule ya wama nakayama iliopo Rufiji Mkoani Pwani.kushoto ni Mwenyekiti wa WAMA,Mama Salma Kikwete akishuhudia uzinduzi huo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi,Dr. Ali Mohamed Shein akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Mwenyekiti wa WAMA,Mama Salma Kikwete.
 mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wama nakayama iliopo Rufiji Mkoani Pwani akimuonyesha mgeni rasmi na moja ya mazoezi yao wanayojifunza shuleni hapo kuhusu matumizi ya kompyuta.
 Mkuu mpya wa mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wageni.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dr. Ali Mohammed Shein (katikati) akipatiwa maelezo ya shule hiyo na Mwalimu Mkuu Twaha Twaha (kulia).Kushoto ni Mwenyekiti wa WAMA,Mama Salma Kikwete.
 Mwenyekiti wa WAMA,Mama Salma Kikwete akiwaaga wanafunzi baada ya uzinduzi wa shule hiyo.
 Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya waasisi wa UWT.
Katibu wa WAMA,Daud Nasib akiongea katika hafla ya ufunguzi wa shule hiyo.Picha na  Mwanakombo Jumaa - Maelezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...