Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi waliofiliwa na ndugu zao katika Ajali ya meli ya Mv Spice Islander,katika mkondo wa Nugwi,mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Umoja ni Nguvu Mkoani Pemba.
 Wananchi wa wilaya ya Mkoani Pemba,waliofiliwa na jamaa zao katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander,iliyotokea wiki iliyopita katika mkondo wa Nungwi,kaskazini Unguja,wakiitikia dua iliyoombwa na sheikh Hamadi Juma,baada ya mazungumzo na Rais wa Zanzibar alipofika kuwapa pole katika ukumbi wa umoja ni nguvu Mkoani Pemba.
 wanananchi wa  Wilaya ya Chake chake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein,alipokuwa na mazungumzo na wananchi  hao,katika uwanja wa Gombani,alipowapapole ya kufiliwa na jamaa zao,kutokana na jamaa zao kwa ajali ya kuzama meli ya Mv Spice Islander,huko katika mkondo wa nungwi hivi karibuni.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akiwapa pole wananchi wa wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,waliofiliwa na jamaa zao katika tukio kubwa la kuzama kwa Meli ya Mv Spice Islander,katika mkondo wa Nungwi,huko uwanja wa Gombani katika ziara maalum ya kuwapa pole wafiwa kisiwani Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya Mkoani,Jabu Khamis Mbwana akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein alipofika kutowa mkono wa pole kwa Wananchi waliofiwa na jamaazao katika ukumbi wa Umoja Mkoani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...