Hali ya Kibanda hiki cha kituo cha Daladala ambacho kinaonekana kutokuwa na hali ya usalama kwa abiria wanaosubiri usafi kituoni hapo ni tete sana kutokana na jinsi kinavyoonekana,kibanda ambacho kipo Kibaha maili moja mbele kidogo ya stendi ya mabasi yaendayo mikoani.ni bora kikafanyiwa ukarabati haraka iwezekanavyo kuliko kusubiri mpaka litokee janga ndio uonekane umuhimu wa kukifanyia ukarabati.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...