.jpg?psid=1)
Juu na Chini ni Watanzania waishio,Washington,DC,Maryland na Virginia wakifanya kisomo na harambee ya kuwasaindia wahanga wa M.V.Spice Islander waliopata maafa ya kuzama kwa meli hiyo Ijumaa usiku wa kuamkia Jumamosi,tarehe 10 Sept,2011
.jpg?psid=1)
Dola elfu 4 zilipatikana kwenye harambee hiyo iliyofanyikia Hillandale Park iliyopo,Silver Spring,Maryland,Nchini Marekani.
Jazaka allah kheir!!
ReplyDelete