Jaji Mkuu wa Tanzania; Mhe. Mohamed Chande Othman (katikati), Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu (wa pili kulia), pamoja na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam; Mhe. Semistokes Kaijage (wa kwanza kushoto) na Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu (Divisheni ya Kazi), Mhe. Regina Rweyemamu wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu (Divisheni ya Kazi), Mhe. Vincent K.D. Lyimo (aliyeshika shada la maua) katika Sherehe ya kumuaga Kitaaluma Jaji Mstaafu,iliyofanyika leo Mahakama Kuu-Kanda ya Dar es Salaam; waliosimaa nyuma ni baadhi ya wafanyakazi wa Mahakama.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akishuhudia Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu akimkabidhi Shada la maua kwa Jaji Mstaafu, Mhe. Vincent.K.D Lyimo (Picha na MARY GWERA; MAHAKAMA YA TANZANIA)
mhe lyimo karibu tls
ReplyDelete