Sensei Rumadha Fundi maarufu kwa jina la SENSEI ROMI.
Kwa kweli ni jambno la kufurahisha na kujivuni sana kuwa Tanzania tunao watu ambao wamebobea katika sanaa ya kujilinda au mapambano KARATE (sanaa ya mkono mtupu) ambapo kweli nchini kwetu ilipokewa katika mazingira magumu sana ,kwani hata hao waliokuwa wanafundisha walikuwa wanafundisha kwa kujitolea,mbali ya wanafunzi ambao kwao ilikuwa ngumu hata kuweza kununua sare za sanaa hiyo.
Kwa kweli wakati umefika wa kuwatambua watu hawa na kuweza kuwatumia kwa faida yao na taifa letu. Blog yetu ilipata kuongea na Sensei Romi na kumuomba atupe muhtasari wa maisha yake katika KARATE na sanaa kwa jumla.
Gonga hapa kupata muhtasari wa Sensei Romi.
www.tzabroad.blogspot.com
Gonga hapa kupata muhtasari wa Sensei Romi.
www.tzabroad.blogspot.com
Sensei mie nambonda kulaleki!
ReplyDeleteShem! Do your thing!
ReplyDelete