Shkamoo uncle!

Mimi ni mmoja wa wadau wa blog yako na mimi mwenyewe nimeanzisha yangu hivi karibuni kwahiyo naomba unitangazie ili wadau waje kunitembelea.

Hapa ndio kijiweni kwangu (BOFYA HAPA Be inspired )na lengo langu haswa la kuanzisha hii blog ni ili nipate fursa ya kuelimisha na kushea yale ninayojua, kujifunza kutoka kwa wengine na kuwaburudisha wadau.

Asante uncle.....ubarikiwe.
LIS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...