Kaka salama,
naomba unisaidie kero ya waendesha pikipiki usiku zenye mlio mkubwa,ni kero kubwa hasa mtaa lumumba, barabara ya morogoro road,imekuwa ni kero kubwa kwetu wakazi wa maeneo haya.Kelele hizi huanza saa nne usiku wakati hakuna magari mengi.Tunapata shida sana na vijana hawa Tufanyeje?
mdau dar
naomba unisaidie kero ya waendesha pikipiki usiku zenye mlio mkubwa,ni kero kubwa hasa mtaa lumumba, barabara ya morogoro road,imekuwa ni kero kubwa kwetu wakazi wa maeneo haya.Kelele hizi huanza saa nne usiku wakati hakuna magari mengi.Tunapata shida sana na vijana hawa Tufanyeje?
mdau dar
Askari Doria si wapo!! Wawapige marufuku, au kuwapiga faini ya kusumbua wananchi. Wengi wao najua ni Wadosi tu na pikipiki zao uchwara. Wakamatwe tu hao wapelekwe mahakamani...kwa kusababisha "Nuisance". Ni sawa na kumbi za starehe kwenye makazi ya watu. Hawa nao wanasumbua sana wananchi.
ReplyDeletePOLE SANA KWA HILO NA KWAKIFUPI TU NCHI YETU HAINA SYSTEM NZURI HATA KIDOGO.KERO ZIPO NYINGI TU SIO PIKIPIKI PEKE YAKE,HUKO MITAANI UTAKUTA KUNA BAA INAPIGA MZIKI MPAKA KUNA KUCHA NA KAMA HUJAZOEA BASI HUTOLALA.LABDA KWA KUKUSAIDIA TU UHONGE PESA KWA MAASKARI WAKAE MKAO WA KUKAMATA NA BAADA YA MUDA WATAOGOPA NA KUHAMIA KWINGINE NA PENGINE IKAWA NI NJIA MOJAWAPO YA ASKARI KUJIPATIA POSHO YAKE YAANI SIO KWAKO TU HATA HAO WAENDESHA PIKIPIKI.WE ACHA TU
ReplyDeleteHama. Hamia sehemu yenye utulivu ndugu yangu.
ReplyDeleteHao ni wadosi kwani hujui? kwe vigorofa vyao wanaishi familia kuanzia babu&bibi, baba&mama, watoto wakubwa wakiume na wake zao, wakike, vijana na wajukuu kwe vyumba 2 au 3. so inabidi wapeane zamu za kulala, sasa hiyo saa8 uciku vijana wanakuwa wamemaliza zamu yao wanapisha wengine....Sasa hapo wanafanya fujo balaa na kuingia makumbi ya disco na mishkaki kona, au icecream corner. kama hamna pa kwenda, ndo mtaani sasa mnapokoma, watazunguka na mipikipiki yao ya kichina mtaani na kelele. Pole sana hiyo ni adhabu, niliishawahi kuishi mitaa fulani hapo lol...NAJUUUUUUUTA KUPAFAHAMU...usiku wa manane unasikia ka gorofa lataka dondoka sababu ya mikelele
ReplyDeleteHATA MAGOLO HUFANYA FUJO SIYO WADOSI TU, HASA MAGOLO WA OYSTERBAY!!!
ReplyDeleteMIND YOUR LANGUAGE BROTHERS!!
Kuna haja gani kuwa na piki piki ya kupiga kelele. Wengine wanapenda kusumbua kwa maksudi. Wakati wa usiku pikipiki zinapita na kusumbua gari zenye alarm ili alarm za gari zianze kulia na kuwasumbua watu. Je polisi wa piki piki wanakuwepo wapi wakati ule.. au wana lala....
ReplyDelete