 |
Waziri wa ushirika na chakula ,Prof Jumanne Maghembe akiongozwa na mwenyeji wake makamu mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara,Moshi,(MUCcoBS)Prof Faustine Bee kuelekea katika ukumbi wa
J.K Nyerere ambako kunafanyika kongamano la kimataifa la Ushirika . |
 |
Waziri Maghembe akibadilishana mawazo na aliyekuwa makamu mkuu wa chuo kikikuu cha ushirika na biashara cha Moshi,Prof Suleiman Chambo (wa kwanza kulia),anayemfuatia ni mkuu wa wilaya ya Hai,Dk Norman Sigalla na kulia kwa waziri ni makamu mkuu wa chuo hicho Prof Faustine Bee. |
 |
Washiriki walipata pia fulsa ya kupiga picha ya pamoja. |
 |
Washiriki wakifuatilia kwa karibu mada zilizokuwa zikitolewa katika kongamnao hilo |
Kongamano likiendelea. Picha zote na Dickson Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Prof. Faustine Bee ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara - Moshi (MUCCoBS)....na wala sio makamu kama inavyosomeka katika caption( halikadhalika Prof. Suleiman Chambo). Asante
ReplyDelete