Habari kaka Michuzi.
      Kaka tunaomba utatangazie kablog ketu
tutashukuru sana.Wadau kutoka Udom.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sisi tulifikiri kuwa kablogu kenu kanahusu mambo ya mkoa wa Dodoma au mambo ya hapo chuonu Udom, kumbe nanyi mnajifanya waandishi wa habari na kukwapua picha za Michuzi na wengineo... haina maana kabisa, just wastage of time. Fanyeni kitu tofauti ili watu tuje tuongeze taarifa au maarifa. Hii sio kwenu ninyi tuu, ila kwa wale wote wanaoiga fani za watu na kujianzishia Blogu za habari wakati hawatafuti habari zao na picha zao ila kazi kunyofoa za watu. Ni upotezaji wa muda kabisa!!!!

    Mzozaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...