Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani ya mkoa wa Kagera Winston Kabantega akiwaonyesha madereva wa pikipiki na magari alama zinazoongoza madereva ambao wanahudhulia mafunzo ya udereva yanayotolewa chuo cha udereva cha lake zone kwa kushirikiana na jeshi la polisi yanayoendelea kwenye bwalo la kituo kikuu cha polisi Bukoba.
baadhi ya madereva wa pikipiki wanaodhulia mafunzo ya udereva yanayotolewa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na chuo cha lake zone wakimsikiliza kwa makini Winston Kabantega alipokuwa akiwapa somo la alama za barabara, alikuwa akiwasisitiza waheshimu alama hizo ili waepukane na ajali zisizo za lazima.picha na Audax Mutiganzi,Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...