Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye suruali nyeupe) pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya Barclays nchini Kihara Maina (mwenye suruali ya kadeti) wakishiriki katika matembezi ya kilo meta kumi yaliyoanzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuchangisha fedha ya kusaidia Afya ya Mama na Mtoto.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma kikwete akizindua matembezi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia Afya ya mama na mtoto katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye suruali nyeupe) pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya Barclays nchini, Kihara Maina (mwenye suruali ya kadeti) wakishiriki kufanya mazoezi ya viungo na wageni mbali mbali waliohudhulia leo kabla ya kuanza kwa matembezi ya kuchangisha fenda ya kusaidia Mama na Mtoto katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar
washiriki wa matembezi wakipasha misuli moto kabla ya matembezi.Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Suala la kizushi- Kwa nini watanzania wanaume hasa watu wazima sio watoto hawapendi kuvaa kaptura hata kwenye joto kali ama wakifanya exercise?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...