NATO and NTC in Libya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wadau, habari za kusikitisha zilizoko katika bbc.co.uk (BBCNews)leo 9/9/2011 kuhusu Libya ni kuwa NTC inawaua na kuwanyanyasa Waafrika weusi walioko Libya. Kwa mujibu wa UN, Waafrika weusi zaidi ya 300 wanavuka mpaka kuingia Niger kila siku. Wiki 2 zilizopita, Human Rights Watch ilitoa tamko kulaani kitendo cha wapiganaji wa NTC kuwaua Waafrika weusi na Walibya weusi na kuwanyanganya mali zao. Cha ajabu hatujasikia NATO kulaani ushenzi huo unaofanywa na ma-racists wa NTC..au hizo haki za binadamu ni haki ya vibaraka tu? Hawa NTC wanarudisha utumwa wa ndugu zetu weusi. Gaddafi alipiga marufuku utumwa 1969 baada ya kumwondoa madarakani bwanyenye mfalme idris.

    ReplyDelete
  2. nchi za nato ndiyo serikali ya dunia. wao wamekwenda libya kudhibiti mafuta ya libya na ndiyo maana wantaka vibaraka watakaowadhibiti kama maboi na matarishi wao. akitokea kiongozi mzalendo ambaye hataki rasilimali ya nchi yake iwe mali ya mabeberu basi nato lazima watamhujumu. kama kweli nato wanataka demokrasia waanzi kuyaondoa mafalme manyonyaji ya saudi arabi na kuwait. ni kuwapa pole wa libya kwa nchi yao kuuzwa.

    ReplyDelete
  3. Sadakta Gado ! Asilimia 100 umepatia kuhusu nini kinaendelea na kitakacho endelea Libya ( labda M ola ajalie mafuta yatoweke ghafla kiajabu na hapo yatawasibu basi kama yanayowasibu Wasomali sasa..ndio wameachwa yatima hakuna mafuta kule...!) sasa na itachukua muda sio mrefu watamtafuta mchawi na kwamba kama ilivyokuwa kwa Wana-Israel walipotanga na njia kwa miaka 40 na ushei ..sijui kama hadi sasa wametulia...ni suala la kujiuliza! Poleni sana Wana-Libya..! Hongera Gado kwa kuonesha uhalisia nchini Libya..!

    ReplyDelete
  4. Wanafunzi wa Libya hapa ukerewe wanadai kuwa nchi za Waafrika weusi wanamuunga mkono Gaddafi kwa sababu alikuwa akiwapa mali za Walibya!!

    ReplyDelete
  5. Anoy wa kwanza gaddafi nae alaumiwe kwa hili. Alienda kuchukua mercenaries weuzi nchi za jirani kuja kuwachapa Walibya. Matokeo yake ndio haya tunayoyaona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...