Home
Unlabelled
mambo ya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huu ni udhalilishaji mkubwa,, pamoja na mapungufu yake huyu alikuwa kiongozi shupavu ambaye alikuwa na ubavu wa kusimamia maamuzi yake na msimamo wake ulikuwa mwiba kwa west ndo maana wamemtengenezea fitina..
ReplyDeleteYa ayuha Gado
ReplyDeleteKatuni funny, maybe,but it also exposes your acrid humour.
Whatever the masters say,Gadaffi was a character and benovelent.He made mistakes, oh yes, and plenty.Who has not,but might is right.
Huyu alikuwa dikteta pamoja na familia yake kuna walibya wengi waliteseka hata kuuawa chini ya udikteta wake,hakukuwa na uhuru wa kutoa maoni wala demokrasia ya kuchagua viongozi ni yeye tu,hata hivyo alishapanga kurithisha madaraka mtoto wake !!Je libya ni mali ya familia moja ? libya ni ya walibya wote,tusimtetee huyu nduli afadhali wamemng'oa madarakani na hii ndiyo dawa ya madikteta enzi za ufalme zimepitwa na wakati,Watu wanataka kuwepo na uchaguzi kila baada ya kipindi fulani na siyo mtu kukaa miaka 42 na bado anataka kuendelea.Mara nyingi viongozi wetu wa ki afrika hujisahau sana wanapokuwa madarakani na nguvu ya umma ikichoshwa na kumgeuka tunalaumu nchi za magharibi,haya yote ni hawa viongozi wanajitakia,na hili ni fundisho kwa madikteta wote wa afrika,hizi ni good news kwa wapenda haki.Gaddafi kwishney wacha akafie mbali kwa kuenda akinusa mavi ya ngamia wake.
ReplyDeleteAcheni kila kitu kulalamikia west.
ReplyDeleteUkweli ni kwamba tunajidhalilisha wenyewe, na ni aibu kubwa.
Source ya matatizo Africa ni waafrika wenyewe, ulafi wa mali na madaraka, na uchu wa utukufu, viongozi wanataka kupewa utukufu.
Kama kweli Gadaffi alikuwa genuine, na mzalendo aliyeipenda nchi yake kwa dhati, angetafuta soluhisho mapema kabla mambo hayaaribika. Angeweka mfumo wa kidemokrasia na watu wangefanya uchaguzi. Lakini aliweka system ambayo ilim-favour yeye binafsi na familia yake, hata sasa hivi hali inakuwa ngumu kwasababu inabidi serikali ya NTC ianze kila kitu upya kujenga mfumo wa haki na demokrasia.
Dunia inabadilika, hakuna wajinga au mambumbu.
Na kutokana na ulafi wake kama kawaida ya viongozi wa Afrika ndio vilivyoifikisha Libya hapo ilipo leo hii, na west wamechukua credit kwa ajili ya ujinga wetu.
AU upuuzi mtupu walikuwa wapi ?? Eti wanamuogopa hata kumshauri Gadaffi walimuona kama mungu mtu.
We need to change Africans la sivyo utumwa waja upya, kwa hiyo vile viumbe vilivyozubaa zubaa duniani basi vitakuwa chambo ya wenye nguvu.
Tuweke uzalendo kwanza na sio ubinafsi, na ulafi.