Salam kwa wote

Jumuiya Ya wazanzibari ZANCANA imetayarisha Dua na Kuanzisha mfuko kwa ajili ya
kuwa saidia waliopatwa na maafa katika Ajali ya meli iliyo tokea Tarehe kumi September 2011.

Harambe hiyo ilikua jana tarehe 18 september 2011 hapo jijini Toronto Canada.

Tuna washukuru wote walo hudhuria Kutoka Brampton, St Catherine, Ottawa na kwengineko na kwa michango waliotoa.

Kazi ipo kubwa na lengo letu kupata $1 million
Tafadhali kila mmoja wetu kwa uwezo wake anaombwa kuchangia katika mfuko huu au wowote na popote hapo kwa ajili jambo hili

TD Canada Trust
East York Town Center,
45 Overlea BLVD Toronto On.
M4H 1C3
Transit:18282 A/c # 5227656
Swift code: TDOMCATTTOR for Outside Canada


BOARD MEMBER
ZANCANA
CANADA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nafikiri wakati umefika kwa wadau walioko Ughaibuni kuanzisha kampuni za usafiri ambazo zitakuwa na viwango vya ki-Ughaibuni ili kutoa mchango wao vizuri kwa taifa baadala ya kutododesha vipicha vyao vyao ughaibuni!!
    Mdau
    Ziwa la Ng'ombe

    ReplyDelete
  2. sasa mliifanya hii shughuli kimyakimya ili iweje wakati watu tungetoka montreal na kwingineko kuja kujamuika na nyinyi? si mngeleta tangazo hapa kwa michu ili tulione wote? naona baridi imeanza kuwadatisha next time kitu nyeti kama hiki wekeni kwa michuzi ili wadau wote tuone ili na wengine tuweze kujumuika.

    ReplyDelete
  3. Tatizo la wenzetu wa zanzibar hawataki kabisa kujitambulisha kama wao ni watanzania bali eti wao ni wazanzibari kana kwamba zanzibar ni nchi..na wanatuponda sana sisi watu wa bara..kuna watu wabara wengi sana hapa toronto na sidhani kuna hata mmoja aliyejua hii shughuli inafanyika wapi na lini...acheni hizo wanzaziabri, sisi wote watanzani..suala la misiba ni suala la watanzania wote..na pia badilisheni hilo jina lenu hilo la ZANCANA.. na tujipe jina jipya la TANCANA..au mnasemaje wadau wenzangu !!

    ReplyDelete
  4. wewe huhusiki ni mtu wa bara,watanganyika nanyi fanyeni ya kwenu,wivu wa nini?Zanzbar juu

    ReplyDelete
  5. halafu hawa wabaguzi kweli kwanini iwe mfuko wa wazanzibari wakati na wabara nao watachangia vilvile this so ignorant ingekuwa mfuko wa kuchangia maafa zanzibar sio umoja wa zanzibar ndo nini basi sie wabara tutakuwa atutoi kabisa

    ReplyDelete
  6. Mbona mie niko Toronto wala sikupata habari ndio nini kufanya vitu kimya kimya?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...