Miss Angola, Bi. Leila Lopes, akivishwa taji la Miss Universe 2011 na aliyekuwa amelishikilia taji hilo mwaka jana wa mashindano hayo, Bi Ximena Navarrete wa Mexico baada ya kuibuka mshindi mjini Sao Paulo,Brazil jana.Picha kwa hisani ya mtandao wa Miss Universe.
Home
Unlabelled
miss angola anyakua taji la Miss universe 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...