Waziri wa Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa, Bernard Membe akiongea na waandishi wa habari jana mjini Arusha juu ya hatua mbalimbali zinazotakiwa kuchukuliwa ili kuinusuru nchi ya Libya kutoingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Waziri wa Fedha wa Tanzania, Mustafa Mkulo (katikati) akiiwakisha Tanzania katika Mkutano wa Bodi ya Magavana wa Afrika mjini Arusha jana.Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO-Arusha.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...