Balozi wa Umoja wa Afrika (African Union) Mheshimiwa Amina S. Ali akihutubia katika ufunguzi wa mkutano wa wadau wa kila mwaka wa African Tourism Annual Leadership Forum uliofanyika  New York University, New York nchini Marekani 
 Mhesimiwa Balozi Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria kikao cha African Tourism Annual Leadership Forum mjini New York.  Pamoja na Balozi wetu ni  Makamu wa Rais wa Gambia Dr Hajjat Assiat Njiaye  (tatu kutoka kushoto), Mheshimiwa Ezekiel Maige ( pili toka kulia)  na watu wengine maarufu duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...