Habari yako kaka Michuzi!
Kwa jina naitwa Abdallah Nocha mkazi wa Jijin Dsm Mtoni mtongani. 
Mimi ni mdau na shabiki wako  blog hakika unanifanya nijihisi burdani pindi nifunguapo blog yako, well done bro!
Dhumuni la barua hii kwako ni kukuomba unifanyie favour ya kuniwekea hewani tangazo langu na pia kama biashara inafanyika basi tujue tunafanyaje katika hili!

Sisi tuna shamba maeneo ya Bunju (B)si mbali sana na road na ni Eneo kubwa, sasa familia kama familia tumeamua kuliuza na hivi karibuni tumelipima na kupata viwanja vinne;
kimoja ni mita 25x25 ambayo ni shilingi 14Milion.ila bei inapungua na maelewano yapo na hivi vitatu kila kimoja ni mita 20x20 ambayo ni 12Milion pia kinapungua na maelewano yapo.

Natumaini utanisaidia na nitashukuru kwa msaada wako na Mungu akubariki bro!
Mawasiliano ni kama ifuatavyo
Abdallah Nocha Phone 0714486576

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa vipimo hivyo huuzi shamba mbali unauza viwanja, ambavyo kwa Mbunju itakuwa hiyo bei yako ni kubwa!!

    ReplyDelete
  2. Leo na nia si kushafua hali ya hewa wala kujeruhi hisia za mtu. Ila Bunju B ukiingia ndani kidogo tu mashamba yanauzwa heka moja kwa 7M na jamaa anauza kipande kwa 14M imekuwa Sinza au Kinondoni? Let's be realistic si kutaka kuwalaibia wabiga Box? Bunu maji hakuna--Maeneo ya Kibamba maji berereeee robo kama unayouza ni 4-5M sasa hizo robo zako za Bunju kwa 14M sijui zina almasi ndaki yake?

    ReplyDelete
  3. Bei poa sana hiyo kwa maeneo ya Bunju,huyu jamaa Anon wa Mon Sept 26 05:43:00 yaelekea hayajui maeneo hayo;kwanza maji ni bwerere, hali ya hewa safi, usafiri wa kumwaga.........nk Yeye kama hataki asipotoshe umma kama yeye hawezi awachie wenye nazo. Na kwa taarifa yake kiwanja sinza au kinondon bila ya 100 milioni Tshs plus ujue umetapeliwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...