Home
Unlabelled
MSIMAMO VODACOM PREMIER LEAGUE 2011/2012 hadi sasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duu! Hii ni noma. Yanga africa jamani. Kutoka kuwa bingwa wa Ligi kuu Tanzania bara na Afrika mashariki na kati lakini sasa inashika mkia!!! Jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteUmepindua msimamo au vipi? Mbona "mabingwa" wanaonekana wanaburuta mkia?
ReplyDeleteJamani hamuoni kama Yanga imecheza mechi mbili tu? Sasa kama ikicheza mechi tano kama huyo anaeongoza na kushinda zote si itakuwa ya kwanza au vipi?
ReplyDeleteNdugu zanguni Pamba ya Mwanza iko wapi? mbona haimo?
ReplyDeleteJamani Yanga daima mbele.. Mbona mnarudi nyuma na kushika mkia? Popadic Clinton huko wapi? vijana wako wanaadhirika
ReplyDeleteRuvu stars na Ruvu shooting halafu JKT Ruvu hebu tufafanulieni jamani
ReplyDeleteTatizo lako Wambura ni kutaka Yanga ionekane ilipo. sasa uwe unatoa hivi mpaka ligi inapokwisha. sio kwa kuwa Yanga wako hapo ndio unatoa misimamo hiyo. baadae unakuja wanapokaa katika nafasi yao unaanza kupotezea. hujaeleweka hizo timu za Ruvu. maana katika ligi tuna JKT RUVU na RUVU shooting. sasa hayo majina umeyapata wapi?! kwenye jina la Yanga unapoandika kiingereza unaitaje?! mbona kila siku TFF mnatuchanganyia majina?!
ReplyDelete