Home
Unlabelled
mtoto wa miaka miwili apoteza baba na mama katika ajali singida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is very sad. I'm so hurt to come across this news. Jamani, huyu mtoto (pengine na ndugu zake) ndio hawana baba na mama tena. Madereva, tuwe makini jamani kuzuia ajali unless haziepukiki kabisa.
ReplyDeleteImenitilisha huruma na huzuni nyingi...Mungu akutunze mtoto Yohanes. Nakuombea na wote walioumizwa na hii ajali. Mungu akuponyesheni na huzuni na majeraha.
ReplyDeleteAsante sana mama msamalia mwema kwa kumuuguza mtoto Yonanes, na Mwenyezi Mungu akubariki.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu aziweke mahali pema peponi roho za marehemu wote. Na tunazidi kumwombea mtoto Yohanes apate nafuu,Inshaallah aepukane na maradhi ili aweze kuwa na afya njema. Ni pigo kubwa sana kwa mtoto Yohanes kuondokewa na wazazi wake. Poleni sana wafiwa wote.
ReplyDeleteKutokana na jinsi gari ilivyopondeka, bila shaka dereva alikuwa anaenda mwendo wa kazi mno. Mungu alaze roho za marehemu mahala pema mbinguni. Poleni sana wafiwa.
ReplyDeleteMtoto Yohanes ni yatima sasa. Nalia, huyo mtoto hawezi kuelewa wazazi wake wamekwenda wapi. Mungu ambariki huyo msamaria mwema.
eeeh Mungu ulisema hutatupa waja wako, naomba uumtunze huyu mtoto salama na ulale roho za marehemu mahala pema peponi, this is terribly sad jamani!
ReplyDelete