Mwanalibeneke mkongwe mwanamke Shamim Mwasha Zeze akikatisha mitaa ya Times Square kitongoji cha Manhattan jijini New York ambako yuko katika vekesheni na maswala ya kutanua mtandao wa http://8020fashions.blogspot.com/ ambao unatimiza miaka mitano mwezi huu. Shamim ameiambia Globu ya Jamii kwamba anaona fahari kubwa kuwa mwanamama mwendesha libeneke lenye mafanikio makubwa, na kwamba anaandaa sherehe za kukata na shoka hivi karibuni.
Home
Unlabelled
mwanalibeneke mkongwe shamim Zeze atinga New York kusaka viwalo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zeze angalia usigongwe na gari bure manake upo katikati ya barabara hizo taa za "walk" zitazimika muda si mrefu.
ReplyDelete