Mambo Media Centre ni kampuni mpya inayojishughulisha na masuala ya utoaji wa habari mbalimbali, kuanzia habari za michezo, burudani, siasa, uchumi hadi habari za uchunguzi.. Tunatangaza nafasi za kazi ya uandishi, utafutaji na usomaji habari kwa waombaji wenye sifa zifuatazo.

1. Umri miaka 18 hadi 30.
2. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita na kuendelea.
3. Akiwa na elimu ya ziada inayohusiana na masuala ya habari, itakuwa ni added advantage kwake.
4..Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika kwa ufasaha lugha za kiswahili na kiingereza.
5. Awe maridadi, mtanashati na anayejiamini..
6. Awe tayari kufanya kazi katika mazingira magumu.

Usaili, utafanyika tarehe 05.OKTOBA 2011, katika ofisi zetu zilizopo eneo la Changanyikeni karibu na Chuo cha Takwimu kuanzia saa tatu kamili asubuhi.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA

0767010756 AU 0787010756

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...