MENEJA wa Huduma za Jamii wa Shirika la nyumba la Taifa ( NHC) Muungano Saguya (kushoto) akimkabidhi Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar , Balozi Seif Ali Iddi risiti ya madawa yenye thamani ya shilingi milioni 15 ikiwa ni msaada uliotolewa na Shirika hilo kusaidia huduma za Afya kwa waathirika wa ajali ya meli ya Mv. Spice islander 1 , makabidhiano hayo yalifanyika ofisini kwa Makamu huyo Vuga mjini Unguja jana. ( Picha na Haroub Hussein).
Home
Unlabelled
NHC YATOA MSAADA WA MADAWA KWA WALIOPATA AJALI YA MELI ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...