Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar, amefanya uteuzi wa Tume ya Utumishi Serikalini Zanzibar.

Katika uteuzi huo, amemteua Othman Bakari Othmani kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, kabla ya hapo ndugu Othman Bakari Othman alikuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo.

Pia amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Tume hiyo.

Walioteuliwa ni Rabia M  Hamdani, Fatma Mohamed Othman, Salama Kombo, Yussuf Ali Salim, Salmin Senga Salmin na Juma Haji Juma.

Uteuzi huo umeanza tarehe 7 Mwezi huu.

IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO  ZANZIBAR

15/09/2011

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...