Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein  akizungumza  na waziri Mkuu Mh Mizengo
Pinda Mjini Zanzibar Septemba 12,2011 wakati alipokwenda  kumpa pole kufuatia vifo
vya watu  197  vilivyosababishwa na ajali ya kuzama meli


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd wakati alipokwenda Ofisini kwake Mjini Zanzibar Septemba 12, 2011 alipokwenda kumpa pole kufuatia vifo vya watu 197 vilivyosababishwa na ajali ya meli
(Picha na mdau Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...