Chama kikongwe cha watanzania waishio Malmö-Sweden Tunasikitika sana na tunatoa salamu zetu za rambirambi kwa ndugu na jamaa wote wa Tanzania kwa MSIBA huu ulio ikumba Tanzania. Msiba uliyo wagusa watanzania wote kwa ujumla, na hata mataifa mengine.
Mwenyezi mungu atupe nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi makubwa yalio ikumba Taifa letu
Tunasema poleni sana wafiwa wote,Tanzania yote.
Mwenyezi mungu awatie nguvu wafiwa wote.
Niaba ya chama
Maria G. Malongo

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...