JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA IMEZIPOKEA TAARIFA ZA AJALI YA MELI ILIYOKUWA IKISAFIRI KUELEKEA PEMBA KWA MASIKITIKO MAKUBWA. TUNAUNGANA NA WATANZANIA WOTE HUKO NYUMBANI NA NJE KATIKA KUOMBOLEZA  MSIBA HUU WA TAIFA. 
MWENYEZIMUNGU AWAREHEMU WOTE WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI. 

PIA TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WANAOISHI ITALY KUWA SIKU YA JUMATANO KUTAKUWA NA MKUTANO WA WATANZANIA WOTE  KWA AJILI YA KUTOA HESHIMA ZETU  NA KUITISHA HARAMBEE YA MICHANGO KUCHANGIA MSIBA WA TAIFA LETU. MKUTANO UTAFANYIKA SAA KUMI NA MOJA NA NUSU TAFADHALI  MAHUDHURIO NI LAZIMA KWA KILA MTANZANIA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!
Abdulrahamani A.Alli
Mwenyekiti
JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...