Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akifafanua jambo wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari juu kupanga ratiba ya fainali za Taifa za michuano ya Airtel Rising Stars ambayo inatarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye uwanja wa Kumbu Kumbu ya Karume Dar es Salaam, zikishirikisha timu za kombaini za Mwanza, Iringa, Morogoro na Dar es Salaam. Pamoja naye ni Afisa Habari wa TFF Boniface Wambura (katikati ) na Afisa Mashindano Iddi Mshangama. Upangaji ratiba huo ulifanyika kwenye ofisi za TFF.
Home
Unlabelled
ratiba ya fainali za michuano ya airtel rising stars yawekwa hadharani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...