Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. watu hao wote wamekuja kumuangalia huyo jamaa au kulikuwa na kitu kingine kabala?(qweman)

    ReplyDelete
  2. reggae huibwa kwa furaha , kama wapiga vyombo hapo wanavyo onekana , hila mwimbaji mbona aburudishi kabisa , au akupata majani/

    ReplyDelete
  3. Niwakati wa wasanii wangine kufuata nyayo za huyu jamaa.

    ReplyDelete
  4. Artists kutoka Tanzania wengi wanamajina makubwa nje,nyumbani tu ndo hamjui.

    ReplyDelete
  5. michuzi kumradhi kichwa huwe unaangalia vichwa vya habari,wee hauwezi kuletewa uji na ukaambiwa Ugali na wwe ukakubali tu.Huyu jamaa anatutukana wapenzi wa Reggae,
    wabongo dakeni hiyo good life http
    ://www.youtube.com/watch?v=Nb6u44etxlM&feature=related
    labda itawapoza kidogo maana huko nyumbani watu hawajui kabisa Reggae kuanzi maproducers mpaka waimbaji wenyewe.

    ReplyDelete
  6. he! allanqwetaman watu hawa wote wamekuja kumuangilia mtanzania Ras Nas,
    sasa wewe upendi mafanikio ya mtanzania mwenzio,na wewe si unablog yako?
    weka watu unaowapenda,usipate tabu ya kututafuta
    wadau
    ffu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...