Ndugu yangu Muhidin,
Naamini kwa niaba ya wenzangu (raia na askari polisi na JWTZ) tuliopo huku Darfur, Sudan, kusaidia ulinzi wa amani kwa kofia ya Umoja wa Mataifa, nachukua nafasi hii kutuma salam za rambirambi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Kikwete, Rais wa Zanzibar, Ndugu Ali Mohamed Shein, na kwa Watanzania wote kwa ujumla kwa kufiwa na ndugu zetu zaidi ya 200 na wengine wengi kujeruhiwa katika ajali ya Meli ya Spice Islander.
Mungu atujaalie sote moyo wa uvumilivu na subira katika wakati huu mgumu na wa majonzi makubwa kwa Taifa na insha'Allah atatuepushia mabalaa ya aina hii, Amina!
Saidi Msonda, Sudan.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...