SISI WANAFUNZI WA TANZANIA TUNAOSOMA ETHIOPIAN AVIATION ACADEMY, NCHINI ETHIOPIA.
TUNATOA SALAMU ZETU ZA POLE KWA WATANZANIA WOTE, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWA KUFIKWA NA MSIBA MKUBWA HUU WA KUZAMA KWA MELI YA MV.SPICE ISLANDER AMBAO UMEPOTEZA MAISHA YA MAMIA YA WATU NA KUWAACHA WENGINE MAJERUHI.
TUNAWAOMBEA MAJERUHI WOTE KWA ALLAH WAPONE KWA HARAKA,
PIA MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI WALE WOTE WALIOFARIKI KATIKA AJALI HIYO. AMIIN.
BY: Shabani, Andrew, Trophes & Ivan.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...