SHATI NILILO LI DIZAINI MIMI MWENYE KWA KUMUKUMBUKA BABA WA TAIFA NA MTU MUHIMU SANA KWA SABABU YA HAKI YA BINADAMU. LITAPATIKA HIVI KARIBUNI KWA ODA MAALUMU TOKA HAPO UK.
ALEX KAJUMULO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Shati zuri. Yasambazeni basi madukani tununue. Tupo tulioguswa sana na hekima za huyu mzee. Tungependa kumuenzi kwa njia nyingi.

    ReplyDelete
  2. NAHITAJI HILO SHATI KAKA KAJU, NIPO bONGO TUPE RAMANI ZA KUWEZA KULIPATA

    ReplyDelete
  3. Unianza kuliuza hilo shati fanya utaratibu watu kununua on line. Vile vile utume details za saizi tujue unatumia system gani ya vipimo wakati wa ku order

    ReplyDelete
  4. NIPO MAREKANI TAFADHALI TUELEZE JINSI YA KULIPATA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...