Maana nimeshtushwa kidogo na uendeshwaji wa gari hili ambalo lilikuwa likitembea upande wa kulia wa barabara ya Morogoro,na ndio sababu kubwa iliyonipelekea kulileta swali hili katika Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. bwana michuzi si kiswahili fasaha hapo juu ni balishwa na si badirishwa

    ReplyDelete
  2. Pengine lilikuwa linakupita.

    ReplyDelete
  3. Na wewe usibadirishe basi!

    ReplyDelete
  4. Tahajia za neno 'badilishwa' imebadilishwa?

    ReplyDelete
  5. Deleva anatoka Lwanda

    ReplyDelete
  6. Hiyo barabara ni 'one way'

    ReplyDelete
  7. Baada ya kurekebisha lugha ongeleeni hoja husika

    ReplyDelete
  8. Balabala irikuwa inatereza rabda ^_^ ndo maana kabadirisha

    ReplyDelete
  9. Nice pic!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...