Kikosi cha Simba
 Kikosi cha Mtibwa Suger.
 Mchezaji wa timu ya Simba,Uhuru Seleman akiwania mpira na Kipa wa Timu ya Mtibwa Suger wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar.Simba imeshinda bao 1-0.
Mshambuliaji wa Simba,Emmanueli Okwi akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Mtibwa Sugar, Issa Rashid wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa,jijini Dar. Simba imeshinda 1-0.
Mshambuliaji wa Simba,Emmanuel Okwi akishangilia bao la ushindi aliloifungia timu yake dhidi ya Mtibwwa Sugar huku akiwa amembeba, Amri Kihemba.
Beki wa Simba, Nassor Masoud (shoto) akichuana na Mshambuliaji wa Mtibwa Said Mrisho.
Mashabiki wa Simba wakifurahia ushindi wa timu yao.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...