Mkutano mkubwa wa Neno la Mungu pamoja na tamasha la Uimbaji wa aina yake  utafanyika hapa District of Columbia, Maryland na Virginia kuanzia Jumapili tarehe  2 hadi 9 October 2011 kuanzia saa 11jioni hadi saa 3usiku ( 5pm-9pm). Wahubiri Maarufu toka Tanzania, Askofu Peter Kitula na Mchungaji Grace Mbise wamealikwa na wataingia jijini tarehe 1 October 2011. 

Waimbaji Mashuhuri toka Tanzania, Upendo Nkone, Upendo Kilahiro na Chistina Shusho nao wameaalikwa na wanaingia Washington DC  kesho September 29 2011 Waumini mbalimbali toka Tanzania, Kenya na Uganda pia wamealikwa. Waleteni watu wote wenye shida mbalimbali za kimwili na Kiroho na wagonjwa wataombewa. Tegemea muujiza wako toka kwa Mungu katika siku hizo za mahubiri.
WOTE MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...