Nguzo ya Umeme ikiwa imefanyiwa utaalamu wa kufungwa kwenye nguzo nyingine ili isianguke kutokana kuoza kwa chini kwa nguzo hiyo ambayo ni ya muda mrefu na mpaka kupelekea kukatika.nguzo hii ipo katika mtaa mdogo utokao Mwananyamala kwa Kopa kueleke Victoria jijini Dar.
Nguzo ya Umeme ikiwa imeegemea kwenye nyaya za Umeme za nguzo nyingine kutokana na kukatika kwa chini.Nguzo hii ipo maeneo ya Tandale,njia itokayo Kijitonyaka kuelekea Tandale Darajani.Wadau wa Tanesko jitahidini kuhakikisha nguzo hizi zinakuwa sana maana hayo yote ni maeneo yenye makazi ya watu wengi wakiwemo watoto wadogo.
Mdau usihofu maana umeme wenyewe hamna!
ReplyDeleteHaha kweli mdau aondoe hofu, stima hamna
ReplyDelete