Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Vishale (Darts),Diwani wa Kata ya Central,Khalid Abdallah (kushoto) akikabidi kombe la ubingwa wa mashindano ya Taifa ya Safari Lager Darts Championship kwa Nahodha wa timu ya Polisi Baracks ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuibuka mabigwa wa mchezo huo kwa mwaka 2011.Fainali hizo zimemalizika usiku huu katika ukumbi wa Redoch Hall uliopo Jijini Tanga.
  Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Vishale (Darts),Diwani wa Kata ya Central,Khalid Abdallah (kushoto) akikabidi kombe la ubingwa wa mashindano ya Taifa ya Safari Lager Dart Championship kwa Nahodha wa timu ya Mzinga ya Morogoro mara baada ya kuibuka washindi wa pili.
 Mabingwa wa Mashindano ya Taifa ya Safari Lager Darts Championship 2011 wakiwa na kombe lao la ubingwa.
Washindi wa Pili wakiwa na Baadhi ya vikombe walivyokabidhiwa usiku huu katika Fainali za Mashindano ya Safari Lager Datrs Championship iliyokuwa ikifanyika katika ukumbi wa Redoch hall jijini Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MJOMBA KHALID NAKUONA UNA KULA NEEMA HAPO MASHALLAH

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...