Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. uncle huyo hapo mwenyue fulana ya bluu ni Muhumini ? anayeimba mwisho huko na mwenye shati jeupe na kofia.

    ReplyDelete
  2. kuna anaesikia hapa kinachoimbwa? nimejaribu hata nimeshindwa kabisa!!!

    ReplyDelete
  3. Kuna dada huyo mwenye blose nyeupe na vidude vya silver na rasta nyeusi sijui mgeni humo twanga. Ni mzuri sana naomba tu asije jichubua

    ReplyDelete
  4. huwezi kusikia ninachoimbwa sababu haikurekodiwa studio. inaitwa "live performance" kama unaufahamu wimbo ndio utauelewa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...