Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete akizungumza na wajumbe wa chama cha wabunge wananwake wa Jumuiya ya Madoloa CWP kanda ya Afrka Mashariki waliofanya ziara Ofisini kwake mara baada ya Kumaliza mkutano wao wa siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa CWP tawi la tanzania Mhe. Zainabu Vullu akijitambulisha
Mjumbe wa chama cha wabunge wananwake wa Jumuiya ya Madoloa CWP kanda ya Afrka Mashariki Mhe. Beatrice Shelukindo akimkabidhi Mpango mkakati wa Miaka 5 na Maazimio ya mkutano wa CWP Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete walipomtembelea leo Ofisini kwake.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete akiwaonesha Maazimio ya mkutano wa chama cha wabunge wananwake wa Jumuiya ya Madoloa CWP kanda ya Afrka Mashariki mara baada ya kumkabidhi leo Ofisini kwake. Wajumbe wa CWP walifanya ziara katika Ofisi za WAMA kwa lengo la kusalimiana na Mama Salma Kikwete.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salama Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanafunze wake aliowafundisha shule ya msingi Mbuyuni Mhe. Muhonga Ruhwanya mara baada ya wabunge hao ambao ni wanachama wa CWP kufanya ziara yao WAMA leo. Mhe. Muhonga hivi sasa ni Mbunge wa Viti maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ujumbe wa CWP kanda ndogo ya Afrika Mashariki ukiwa katika picha ya pamoja na Mama Salma Kikwete mara baada ya Kumtembelea Leo.Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...