Afisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors Graciano Mfuse akiwapa maelezo baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 kabla ya kuanza mafunzo rasmi ya namna ya kuendesha gari aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo Mlimani City Dares Salaam septemba 10.
Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania Alexia William akimsikiliza Afisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors Magdalena Mpeku akimpa maelezo namna ya kuendesha gari la aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo Mlimani City Dares Salaam septemba 10.
Vodacom Miss Photogenic Stacy Sospeter akishuka kwenye gari aina ya Jeep Patroit ambalo alikuwa akijifunzia namna ya kuendesha,Mshindi wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa gari ya aina hiyo yenye thamani ya Tsh Milion 72.
Baadhi ya magari yaliyotumiwa kuwafundisha walimbwende wa Vodacom Miss Tanzania katika ufukwe Coco beach.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyo dereva mkufunzi yupo poa sana, mzuriiii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...