Mimi naitwa Mwinyimwaka Hatibu, ni Katibu wa jumuiya ya Watanzania tawi la Modena nchini Italy. Ningependa kukufahamisha mimi na baadhi ya Waafrika wengine tupo mbioni kuanzisha Benki ambayo wawekezaji zaidi ya asilimia 80 wawe ni wafanyakazi wageni waishio hapa na hii ndio globul yetu Beda project.com. Jina lake ni Banca Etica Diaspora African. nakutumia picha ambayo tulikuwa ofisi ya ubalozi wa Tanzania ili kuelezea hi project yetu. mimi ni wa kwanza kushoto na anaefutia ni muwakishi wa ubalozi Mh. Mbilinyi.
Home
Unlabelled
wadau italy mbioni kuanzisha benki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Project imetulia na inaonekana itafika mbali,ila nina maswali machache ambayo ninahitaji ufumbuzi.
ReplyDelete1.kwanza participation ya hao owners itakuwa ni through buying shares au tayari wamiliki wameshapatikana
2.Project haijajieleza kuwa itaoperate shughuli zake ndani ya italy au katika nchi zetu za africa?
Thanks
Mdau USA
Habari njema sana hii.. wenzetu mlio sehemu nyingine za Ulaya ni vema kuiga mifano mizuri ya kimaendeleo kama hii kutoka kwa hawa wenzetu waliopo makao makuu ya mafia group Italy.
ReplyDeleteHongereni sana. Nchi zingine wameendelea kwa kuwekeza kwenye nchi za watu. Wengine igeni mfano huo.
ReplyDelete