Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Etisalat, walipofika Ikulu mjini zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice Islanders, iliyokuwa ikielekeakisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Etisalat Essa Alhhaddad,akiongoza ujumbe wa bodi hiyo walipofika Ikulu mjini zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice Islanders, iliyokuwa ikielekeakisiwani Pemba.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...