Waziri wa Katiba na Sheria,Mhe.Celina Kombani (kushoto) akijadili jambo na Jaji Kiongozi wa Mahakama kuu, Mhe. Fakih Jundu alipomtembelea ofisini kwake leo, anaeshuhudia maongezi hayo (katikati) ni Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu,Kanda ya Dar es Salaam,Mhe. Semistokes Kaijage (Picha na Mary Gwera, Mahakama kuu ya Tanzania).
Home
Unlabelled
WAZIRI KOMBANI ATEMBELEA MAHAKAMA KUU, AKUTANA NA JAJI KIONGOZI PAMOJA NA WATENDAJI WA MAHAKAMA KUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...