Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali ukiwemo msimamo wa Tanzania kuhusu kutambua Baraza la Mpito la Libya (NTC). Kulia ni  Mkuu wa Idara ya Habari wa Wizara hiyo Assah Mwambene.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...