Maj.Gen. Timothy Shelpidi, Balozi wa Nigeria akisaini kitabu cha maombolezo
Ofisa wa Ubalozi wa Uganda akisaini kitabu cha maombolezo |
Bw. O Sung Ho, Minister-Counsellor wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea akisaini kitabu cha maombolezo
Bw. V.Tkachenko, Naibu Mkurugenzi, Idara ya Afrika, Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi akisaini kitabu cha maombolezo
Dr. Seth Koranteng, Balozi wa Ghana akisaini kitabu cha maombolezo
George Eliah Mwakyembe mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Urafiki Lumumba akisaini kitabu cha maombolezo
waTZ mnachekesa kweli! kutoa rambirambi na kuombea dua maafa ni hodari sana, lakini kuzuia maafa hajajua.
ReplyDelete